💃🎤 Paroles de chanson Française et Internationnales 🎤💃
Recherche : GO
Liste de Favoris
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Ajouter aux Favoris Titre : Nimeyumba
Miaka tisa Dar, mambo yamefeli Sina hata bajaji Eti niuze mkaa ila sio kweli Mbona sina mtaji Nanga imepaa nawaza ukabaji Ili nikidhi mahitaji Yote yanakataa Naogopa utapeli nitafungwa Mara Bright siku hizi hatubambi Toka amwagwe na management Anachoimba sisi hatutaki Anayoyafanya haeleweki Aliniambia mama, mama Mwanaume kupambana nisichoke Kuna mengi ya kufanya, fanya Hata nikianguke niinuke Tena alisema mama, mama Cha mtu sumu nisiguse Kama imeshindikana, kana Nirudi nyumbani nisilazimishe Nimeyumba, nimeyumba Nimeyumba, nimeyumba Nimeyumba, nimeyumba Wako wapi wale walosema Kwamba ni shabiki wa damu Tena walishika bango Whatsapp wakaunga team Redio hawapigi hata ngoma Maisha yamekuwa magumu Sina show mapromoter tena Hawapigi hata simu Au tayari ndo tayari Nilowakuta warejee ndani Stress zinilaze chali Niwe kulewa dawa kali Au tayari ndo tayari Nilowakuta warejee ndani Stress zinilaze chali Niwe kulewa dawa kali Aliniambia mama, mama Mwanaume kupambana nisichoke Kuna mengi ya kufanya, fanya Hata nikianguke niinuke Tena alisema mama, mama Cha mtu sumu nisiguse Kama imeshindikana, kana Nirudi nyumbani nisilazimishe Nimeyumba, nimeyumba Nimeyumba, nimeyumba Nimeyumba, nimeyumba Amesahaulika Juma Nature Yuko wapi Inspekta Atakayeumiza nesi hamtaki kabisa Ona PNC Tonya mbili Malovi hambembelezi tena Bwana misosi, MarTi Afande tena simba hang´ati tena Wameyumba Chelea Mani, Dazi baba Ferooz wa starehe, wameyumba 20 percenti yule Sparki simwoni pasha ee Wameyumba Kila kibanda cha simu Sogi dogi King Prais ke Wapi Stara Tomasi Sista P eeh Wameyumba Dume bwege kaka Bushoke Eeh ameyumba Baraka the Prince