Huh! ushanivisha vijato hadi mikononi Love mpaka jikoni Style ya wavu totoa huku kikaangoni Ushavu mpaka sioni Wangu wa ubavu wa moyoni
Uliye niepusha na taabu zote za kitondoni
Mbele za watu mrembo nakuita njoo My baby baby Ushanifunga tena sio ngome draw My baby baby
Ubachelor sitaki Kuku wangu mi ni manati Sichezei bahati Shuti mi nafunga penati
She got a bombo, sioni Ndege mjanja kanasa tunduni Gal vumvum kinondoni Sipumui ye kanikaba shingoni
Mapenzi huwa unaniwezaga, sana sana
Nikipenda sipendagi tena, tena tena Kwako madanga yanadema, dema dema Nakuvisha pete chanda chema, chema chema
Mi napenda vinono nono, vinono nono Basi nipe vinono nono, vinono nono Mi napenda vinono nono, vinono nono Basi nipe vinono nono, vinono nono
Kusema kweli nakupenda wee Vile miaka inakwenda eeeh
Huh! Wachawi wazimie data Na hayaishii hapa Na wale vivuruge mouse wapatie papa Nataka watie chata, achambulie kapa Vyote nipe mia nisindikizie baba
Na nikikuudhi sorry, tumalize kifamilia Una sura ya mdoli, nisochoka kuiangalia Wanipandisha mori, kila unaponikumbatia Chumbani magoli, hadi refa ndani ashaclear
Mapenzi huwa unaniwezaga, sana sana Nikipenda sipendagi tena, tena tena Kwako madanga yanadema, dema dema Nakuvisha pete chanda chema, chema chema
Mi napenda vinono nono, vinono nono Basi nipe vinono nono, vinono nono Mi napenda vinono nono, vinono nono Basi nipe vinono nono, vinono nono
Kusema kweli nakupenda wee Vile miaka inakwenda eeeh
Na nikikuudhi sorry Una sura ya mdoli Wanipandisha mori Chumbani magoli