Wako uzuri kama dem wa notoni Niko nawe najihisi niko peponi Can you be my wife nikueke ndani I don´t need no one else but you
When you smile baby,kabisa wanimaliza We ni raha, wajua kunichombeza When you smile baby,kabisa wanimaliza We ni raha, wajua kunichombeza
Kwangu we dawa…..dawa Kama Adamu na Hawa….Hawa Kwangu we dawa……Dawa Kama Adamu na Hawa
Mi bado nabaki na wewe Mahaba niuwe nizikwe na wewe We peke yako ndo unanikolezaga,unaniwezaga Mi nlielea na nanga imezama oooh baby Umenifumba macho angu mwengine sioni Ukaniteka hisia zangu mapenzi ni upofu
When you smile baby,kabisa wanimaliza
We ni raha, wajua kunichombeza When you smile baby,kabisa wanimaliza We ni raha, wajua kunichombeza
Kwangu we dawa…..dawa Kama Adamu na Hawa….Hawa Kwangu we dawa……Dawa Kama Adamu na Hawa