Naona kama una kitu moyoni Nahisi kwamba we hujaniamini
Nishalia unizalie, daily tomorrow wewe Hata wazazi wanishuku nina kasoro

Kila ukipata mimba, unatoa wewe Mie napokuuliza, unang´oa nanga Kila ukipata mimba, unatoa wewe Mie napokuuliza, unang´oa nanga
Nataka tujenge nyumba (Tujenge tujenge) Nataka tujenge boma eeh (Na wewe, na wewe) Nataka tujenge nyumba (Tujenge tujenge) Nataka tujenge boma eeh (Na wewe, na wewe)
(Ihaji made It)
Naomba usione nakataa Maisha ngumu hata kula ni balaa Chumba cha kupanga, kodi ya kuchanga
Naomba ngoja ngoja, hadi mambo yawe sawa
Kama kuzaa nitazaa na wewe Hata mapacha nitazaa na wewe
Sio lazima mapacha Hata mmoja sawa Usijali kuhusu mapenzi Maana Mola ndo mgawa
Oooh si uliniambia Milele utaishi na mimi Uliniambia Kulea utalea na mimi
Ungenieleza wazi kinagaubaga Kuliko kunizuga kunichanganya Ungenieleza wazi kabla sijalala