Prrrrr! Ti ti ti Tdat Ni Mauzo tukiwa na Brown Bad Boy na Vicky Pon Dis, Tdat Heey mr lover man, Kasabun
Niliona nyeupe nikataaka Ilipopita nyeusi pia nikafaata Uuh na mwenye shepu nilidata Na kale kamchele shingo panga
Wanishika, wanishika hapo Wanishika, wanishika hapo Wanishika, wanishika hapo Wote nikiwaona roho yangu yanienda mbio
Wanishika, wanishika hapo Wanishika, wanishika hapo Wanishika, wanishika hapo Tamaa ikizidi popote kichinjio
Kuna wagunye wasomali wenye nywele za singa Wazuri wa kusmile wenye lips za Pink Raha unapewa mpaka unaeka Tick
Draft umecheza umefika King
Wote wazuri, Wote wazuri, Wote wazuri Haa murder, murder, murder Wananimurder, wote wazuri Murder, murder, murder, wananimurder
Sin hunibamba so naipiga bila chesa Nadia yuko poa ye najuwa tutatesana Naenda roho Timmy ka you know Vanessa Aki ye huniita known kama message za MPESA
Sitapenda choche ananitake fiti Napenda yule busy pia hunilayia fiti Na vile wamejaa hii ni gal Dem city Nataka tu wasavage nyi ndo kitu you see
Kuhusu my ex, okay juzi amenitext
Okay si hubonga less tukipatana ni sex Yule Bank kwake nina interest Ndio  maana time yangu kwake ninai invest
Ule ameokoka ye huniombea Nikiwa mbali ni me anaekea Ule wa uber si me ananiletea Kuwa na dame mmoja si Ni unfair
Wote wazuri, Wote wazuri, Wote wazuri Haa murder, murder, murder Wananimurder, wote wazuri Murder, murder, murder, wananimurder
Tipo tipo kibonge Mtamu kama uji wa matoke Ama utoke na kafupi kakonde Kepesi kukabeba wala huchoki
Tipo tipo kibonge Mtamu kama uji wa matoke Ama utoke na kafupi kakonde Kepesi kukabeba wala huchoka
Wote wazuri, wote wazuri, wote wazuri Haa murder, murder, murder Wananimurder, wote wazuri Murder, murder, murder Wananimurder, wote wazuri