Nishahangaika kote kushoto kulia Nifanye nini unisamehe Naona kama sipo kuishi bila wewe Napata shida unisamehe
Moyoni nimebabuka Amani sina mpenzi nisamehe Basi fanya yaishe Usisubiri niteketee nisamehe
We ndio dereva wa maishani Usikatishe safari Malengo tuyafikie Niliteleza nakubali
Moyoni nimebabuka Amani sina mpenzi nisamehe Basi fanya yaishe Usisubiri niteketee nisamehe
Alila lila (Naomba nisamehe) Alila lala (Naomba nisamehe) Saba mara sabini bibi naomba nisamehe
Turudi kama zamani bibi basi we kaa chini (Naomba nisamehe) Yakakakaya...kayanga bolingo we (Naomba nisamehe) Zokaya kaya kaya... bolingo na lingiyo
Si ulisema mimi chupa na wewe mfuniko baby Unataka kuniacha wazi niadhirike Na ukasema labda kitutenganishe kifo Tutakuwa mwisho wetu wa mapenzi mimi na wewe
Mangapi tunakosea kila siku chini ya jua Tukitubu tukiomba Mungu baba anatusamehe Nahisi kiungulia, mwii umetoa....Nisamehe
Alila lila (Naomba nisamehe) Alila lala (Naomba nisamehe) Saba mara sabini bibi naomba nisamehe Turudi kama zamani bibi basi we kaa chini (Naomba nisamehe)
Yakakakaya...kayanga bolingo we (Naomba nisamehe) Zokaya kaya kaya... bolingo na lingiyo