Kila ukweli sio lazima useme Ikizidi sana lazima ufunguke Nilikuwa dhahabu mikononi mwa kipofu Hakujua dhamani yangu alinidharau
Udongo wa mfinyanzi aridhini Kujua dhamani yake waulize wafinyanzi Nishapata pacha wangu wa milele Katambua dhamani yangu tunapendana
Pacha ni moja ya madini Mola baba alificha mbinguni Umeshushwa chini ili uwe wangu tu Sauti tamu kama nyoya linachokonoa sikio Mikono yako inanimaliza homa bila dawa Ndo maana nakupendaga sana
Mi nakupenda baby aah baby Nimepata pacha ujue Mi nakupenda baby aah baby Aah pacha pacha wee
Mi nakupenda baby aah baby
Raul mashubedi modern fashion
Nani mwenye kipimo cha mapenzi alete Nipime watu wote waone Yes mimi, ju mapenzi ananipaga mimi Mimi mimi ...
Pacha pacha wangu we Mshumaa bei rahisi Unaweza unguza nyumba ya mabilioni Chungana na maneno ya wapambe
Yanaweza haribu penzi letu Mtoto wa mama eeh Si unajua fresh (Fresh fresh fresh) Nakupendaga sana, mwana mama eeeh
Bado pacha usisahau
Mi nakupenda baby aah baby Nimepata pacha ujue Mi nakupenda baby aah baby Aah pacha pacha wee
Mi nakupenda baby aah baby Bill Gate Katunzi, mzamili
Nani mwenye kipimo cha mapenzi alete Nipime watu wote waone Yes mimi, ju mapenzi ananipaga mimi Mimi mimi