Sitajuta kupenda ingawa yaumiza moyo Me naumizwa kukosa la kupewa likiiizo Mimi sina makosa Mapenzi ya hofu ni kawaida Ni kheri ukihisi jambo
Ulichunguze upate uhakika Mimi sina makosa Mapenzi ya hofu ni kawaida Ni kheri ukihisi jambo Ulichunguze upate uhakika
Si ulisema mwenyewe nisipige simu Wala kutuma message Na ukasema kwamba hunipendi kuniona Unaweza tokwa machozi Tukigombana tunaelewana Mwisho tunapuuzia Hili limekaaa haifai iih kunyamaziwa Tukigombana tunaelewana mwisho tunapuuzia Hili limeka aah haifai iih kunyamaziwa
Wivu ninao ni binadamu nimekamilika aah Ingawa muda sinao kila dakika me naijutia aah
(....)
Sijui kwanini tunagizana Wakati najua tunapendana Hatua zetu zinapishana Kwenye safari Yetu ya mapenzi
Si ulisema mwenyewe nisipige simu Wala kutuma message Na ukasema kwamba hunipendi kuniona Unaweza tokwa machozi Tukigombana tunaele wana mwisho tunapuuzia Hili limeka aa haifai iih kunyamaziwa Tukigombana tunaele wana Mwisho tunapuuzia Hili limeka aa haifai iih kunyamaziwa
Lenye uhakika tulifuate yeehee
Lisilo uhakika tuliache yeehee Sina unajua na kupenda Si unajua achana nao Si unajua nakupenda Mtoto achana nao
Si ulisema mwenyewe nisipige simu Wala kutuma message Na ukasema kwamba hunipendi kuniona Unaweza tokwa machozi Tukigombana tunaele wana Mwisho tunapuuzia Hili limekaa haifai iih kunyamaziwa Tukigombana tunaele wana Mwisho tunapuuzia Hili limekaaa haifai iih kunyamaziwa
Hilo aifai ⊠kunyamaziwa
Hilo aifai kunyamaziwa Hili aifai aifai iiiiiiiiiih Hilo aifai kunyamaziwa