Kasema anataka bolingo Kasema anataka dombolo Na ni kazana kwa bolingo Kumbe mtoto hachoki kucheza
Monday mpaka Sunday ni burudani tu Nyumbani kumenoga kama ni sikukuu Haya bibi Insta DJ, heeee Pale pandisha sauti, leta mizuka Tunacheza kwa mapozi tingisha mguu My cherrie nyoso tingisha mguu
Mchana kwenye mishe mishe kila kona tunacheza Tingisha mguu Usiku kwenye bata kali tunaruka na kucheza Ane ma zwe nyeta pinda cheza, tingisha mguu Ane ma zwe nyeta pinda cheza
Watoto wa Kigali na mitindo kwenye dancefloor Hakuna michezo tulifunga tukakuwa show
Monday mpaka Sunday ni burudani tu Nyumbani kumenoga kama ni sikukuu
-
Mchana kwenye mishe mishe kila kona tunacheza Tingisha mguu Usiku kwenye bata kali tunaruka na kucheza Ane ma zwe nyeta pinda cheza, tingisha mguu Ane ma zwe nyeta pinda cheza
Cheza na debe pole nyingisa Kichwa bega tingisha Na debe pole nyingisa Kichwa bega tingisha
Pombe ninakunywa mdomoni sio kwa miguu Acha miguu yangu Pombe ninakunywa mdomoni sio kwa miguu Acha miguu yangu
Mchana kwenye mishe mishe kila kona tunacheza Tingisha mguu Usiku kwenye bata kali tunaruka na kucheza Ane ma zwe nyeta pinda cheza, tingisha mguu Ane ma zwe nyeta pinda cheza