Njia yao iwe giza na utelezi, malaika wa Bwana, akiwafuatia, Uharibifu wapate kwa ghafula, Waharibifu waanguke ndani yake Mimi bure wasinisimange bure wasinigonge, Na wovu wao aloficha wamnase mwenyewe, Ila sababu wamenichimbia shimo la hasira, Mifupa yangu, wataitazama, Bwana ni nani, Aliye kama wewe, na nafsi yangu, itamfurahia Bwana,
{Wapendeza Bwana wapendeza, Ee Bwana wapendeza, katika hili najua utatenda aah Nitetee Bwana nitetee, Ee bwana nitetee, katika hili najua utatenda aah}