CS Records Mwanangu usikubali Wenye dhambi wakushawishi Mwanangu usikubali Wenye dhambi wakushawishi
Mwanangu usikubali (usikubali..) Wenye dhambi wakushawishi (Mwanangu eeh..) Mwanangu usikubali (usikubali..) Wenye dhambi wakushawishi
Wakisema njoo pamoja nasi Na tuvizie ili kumwaga damu Tumwotee asiye na haki eeh Mwanangu usikubali Wanamaneno matamu kama asali Lakini mwisho mchumbu kama shubiri Mwanangu usikubali Wenye dhambi wakushawishi
Mwanangu usiende njiani pamoja nao Usienende katika mapito yao Mwanangu usikubali Wenye dhambi wakushawishi Miguu yao huenda mbio maovuni Na hufanya haraka kumwaga damu Mwanangu usikubali Wenye dhambi wakushawishi
Mwanangu usikubali (mwanangu eeh..) Wenye dhambi wakushawishi (Mwanangu ooh..) Mwanangu usikubali (mwanangu eeh..) Wenye dhambi wakushawishi
Mwanangu kumcha bwana ni chanzo cha maarifa Bali wapumbavu hudharau hekima
Mwanangu usikubali Wenye dhambi wakushawishi Yasikilize mafundisho ya baba yako Wala usiache sheria ya mama yako Mwanangu usikubali Wenye dhambi wakushawishi
Mwanangu mtego hutegwa bure ee Mbele ya macho ya ndege yeyote Mwanangu usikubali Wenye dhambi wakushawishi Lishike sana neno la mungu Uli andike kwenye kibao cha moyo Mwanangu usikubali Wenye dhambi wakushawishi
Mwanangu usikubali (mwanangu eeh..) Wenye dhambi wakushawishi (Mwanangu ooh..)
Mwanangu usikubali (mwanangu usiki eeh..) Wenye dhambi wakushawishi
Uwe jasiri kama simba Mpole ee kama njiwa Mwanangu usikubali Wenye dhambi wakushawishi Mshike sana elimu Usimwache aende zake Mwanangu usikubali Wenye dhambi wakushawishi Heshimu wakubwa kwa wadogo Tajiri na fukara Mwanangu usikubali Wenye dhambi wakushawishi
Mwanangu usikubali (mwanangu..) Wenye dhambi wakushawishi (Mwanangu eeh..)
Mwanangu usikubali (mwanangu ooh..) Wenye dhambi wakushawishi
Mwanangu usikubali Wenye dhambi wakushawishi (yeeyeeyee) usikubali Wenye dhambi wakushawishi