Nimehesabu, Nakuhesabu Nimehesabu, Nakuhesabu Nimeongeza na kutoa Nikazidisha na kugawanya
Nimeona ni wewe, Yesu ni wewe Nimeona ni wewe eh, Yesu ni wewe Hakuna mwingine ni wewe, Yesu ni wewe Pekee yako ni wewe eh, Yesu ni wewe Hesabu zote nilizofanya Nimeona ni wewe tu Pekee yako ni we Niwewe Yesu ni wewe tu Mwanzo mwisho ni we Niwewe Yesu ni wewe tu Mungu Yesu ni weee Niwewe Yesu ni wewe tu
Oooh ninasema niweee Bwana ninasema ni wewe tu Niwewe niweeee Yesu wewe ni wewe tu Umetenda haya niwee Eeh wewe niwewe tu Hakuna mwingine yawezekana Niweee...Bwana ni wewe tu
Nani awezaye kutenda uliyotenda bwana Nani angelipa gharama uliyonilipia Kumbe si wenye mbioi washindao michezo Wala walio hodari washindao vitani
Nimeona watumwa wakipanda farasi Eeh Bwana, wala si wenye hekima wapatao chakula
Bwana, nimejumilisha, nimetoa, nikazidisha, nikagawa Weweee....sijaona mwingine eeh bwana
Niweeee.. Niwewe tu Niwewe Bwana Niweeee.. Niwewe tu Umetenda haya Niweeee.. Niwewe tu Umefanya yote Niweeee.. Niwewe tu
Niwewe Bwana Niweeee.. Niwewe tu Umetenda haya Niweeee.. Niwewe tu Umefanya yote Niweeee.. Niwewe tu
Sifa zote ni zako Niweeee.. Niwewe tu Bwana ni wewe ...Bwana Ooh ni wewe Yesu Bwana ni wewe ...Bwana Niweeee.. Niwewe tu