Hatua za mwenye haki zaongozwa naye Bwana Na Bwana hufurahia njia zake wakati wote Hatua za mwenye haki zaongozwa naye Bwana Na Bwana hufurahia njia zake wakati wote
Nakukabidhi Bwana njia zangu zote Pia nakutumaini, najua Bwana utafanya Hata nijapojikwa sitaanguka chini Bwana utanishika mkono na kunitengeneza
Nakukabidhi Bwana njia zangu zote Pia nakutumaini, najua Bwana utafanya Hata nijapojikwa sitaanguka chini Bwana utanishika mkono na kunitengeneza
Mwangazie mtumishi wako uso wako Maana ninayatamani maagizo yako Tengeneza hatua zangu Uovu usije ukanimiliki, e Bwana naomba
Ongoza hatua zangu, ee Bwana, ee Bwana Ongoza hatua mwenendo, eeh Bwana, eeh Bwana Ongoza hatua zangu, ee Bwana, ee Bwana
Ongoza hatua mwenendo, eeh Bwana, eeh Bwana
Ongoza hatua zangu, ee Bwana, ee Bwana Ongoza hatua mwenendo, eeh Bwana, eeh Bwana Ongoza hatua zangu, ee Bwana, ee Bwana Ongoza hatua mwenendo, eeh Bwana, eeh Bwana
Ongoza hatua zangu, ee Bwana, ee Bwana Ongoza hatua mwenendo, eeh Bwana, eeh Bwana Ongoza hatua zangu, ee Bwana, ee Bwana Ongoza hatua mwenendo, eeh Bwana, eeh Bwana