Wanawake jeshi kubwa, jeshi kubwa, jeshi kubwa Wanawake jeshi kubwa, jeshi kubwa, jeshi kubwa Wanawake tunaweza, tunaweza, tunaweza Wanawake tunaweza, tunaweza, tunaweza Mwanamke jiamini, jiamini, jiamini
Wanawake (Tunaweza) ooh, tunaweza Wanawake (Tunaweza) tunaweza sana Mwanamke jasiri (Tunaweza) ooh, tunaweza Wanawake jeshi kubwa (Tunaweza) tunaweza sana
Mwanamke napenda ujitambue Wewe ni mtu wa dhamani Popote ulipo jiamini unatosha Yesu alitumika na wana wake Mitume alikuwa na wanawake Mwanamke popote ulipo unatosha
Nyumba bila mwanamke haifai Huduma bila mwanamke haiendi Dunia bila mwanamke si mahali salama Mwanamke mahali popote ulipo, jiamini oh oh oh
Wanawake (Tunaweza) ooh, tunaweza Wanawake (Tunaweza) tunaweza sana Mwanamke jasiri (Tunaweza) ooh, tunaweza Wanawake jeshi kubwa (Tunaweza) tunaweza sana
Wanawake jeshi kubwa, jeshi kubwa, jeshi kubwa Wanawake jeshi kubwa, jeshi kubwa, jeshi kubwa Wanawake tunaweza, tunaweza, tunaweza
Wanawake (Tunaweza) ooh, tunaweza Wanawake (Tunaweza) tunaweza sana Mwanamke jasiri (Tunaweza) ooh, tunaweza Wanawake jeshi kubwa (Tunaweza) tunaweza sana