I,am taking on and going high My nigga bado sina wengi Leta vitu, far nidrive, Madiga wanataka ni bang bang Pande zote na bang bang
Game na bro na my gang gang
Na kaba koo kwenye ngoma zao Tuna kill the show kama chain chain So who the f** you think you know me(think you know me) Go get the mulla mama told me(mama told me)
The lord horse is what they call me Namuua nyani simtazami usoni If you ain´t ´bout money, you ain´t know me Pesa inafanya toto ilambe koni Kutoka kwa hood, mpaka kwa wanangu wa chuo kikuu Na mwaka huu, wote tunataka kuenda juu (juu juu juu juu juu juu)
Muda ni mchache, mambo ni mengi bado napindua pindua Kilicho na nanda, mi nakuona kama unazingua zingua CountryBoy ukifanya ugomvi, nalipua lipua Kutoka Dar, mpaka Down me nakisanua sanua
Mungu ananionyesha miujiza Nyie endeleeni kuigiza Nang´aa mpaka kwenye giza Bongo kam walahi yoh bila viza
If you ain´t bout money, you ain´t know me Pesa inafanya toto ilambe koni Kutoka kwa hood, mpaka kwa wanangu wa chuo kikuu
Na mwaka huu, wote tunataka kuenda juu (juu juu juu juu juu juu)