Flow na midondoko ni unyama wanaungana Na wanaoficha ficha na hakisha nawaficha wakinipa feature
Ustaa nao ukitokeza tu mapicha picha Ndo maana mama ´enu simweki wazi namficha ficha
Balaa balaa na more cuff nadrop bars International hapigani na allstars Ndoto ni kuwa na maisha yenye focus Money ila wallet ina cash natoa purse Kutwa kucha mnapigana vijembe Hutopata papai chini ya muembe Sasa we jifanye ni chizi wa mirembe Uniguse nikuchane chane na viwembe
Ukali ni mistari mikali najulikana Na hapa ndipo iyo mamistari inapatikana Mi wako inaonekana maunyunyu mengi kwa sana Natoka na piece kali na bado najulikana
Hii ndo serikali kuu na mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka Watasema tuko pindo pindo Pindo, pindo
Serikali kuu na mizuka Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka Watasema tuko pindo pindo Pindo, pindo
Hii ndo serikali kuu na mizuka Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka Watasema tuko pindo pindo Pindo, pindo
Serikali kuu na mizuka Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka Watasema tuko pindo pindo Pindo, pindo
[Moni Centorozone] Asubuhi nahandle pusha, fruits na mafuta Mapuli sihitaji pusha levels sikai mtaani kuta Piga kelele mbili wewe kwa moni yake Kila mmoja anachana veve kwa bebe yake Hizi ni skills toka mtaani wanafeel sikunjani Babes nataka nimwage ndani am like hell no punani Njoo na serikali kuu utaona buya kwenye air 34 GB buku oa millionaire
Hii ndo ile bad kwenye news Badili channel Magu kwenye news Kabla ya kipima joto kwenye nyuzi Tunasikitika kutangaza vifo vya marapper feki
Hii ndo serikali kuu na mizuka Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko pindo pindo Pindo, pindo
Hii ndo serikali kuu na mizuka Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka Watasema tuko pindo pindo Pindo, pindo
[Deddy] Kutana na black MC mwenye fimbo nawacha chacha Flow zinafanana sana na pesa utajua makacha Wivu ka kichefu chefu ukilamba inakata Ukitaka roho ya kirasta ni kamba namwita rapture Rapper hawafanyi ka hizi ni maangamizi tu Babu utapata uchizi na taabu usiponijua Nahisi utakuwa mwizi mwizi wa adabu Inabidi upate adhabu sababu unadisturb na unazingua
Nawapa blueticks kwa IG na IP Kwenye VIP mi siingii na IT Acha usanii nina degree ya IT Alafu sina team no side A no side B Wakiachwa wanaenda kwenye redio Wakifilisika hakuna stori ooh Dar kugumu hujamsikiliza Marioo Bisho...
Hii ndo serikali kuu na mizuka Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka Watasema tuko pindo pindo Pindo, pindo
Hii ndo serikali kuu na mizuka Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka Watasema tuko pindo pindo
Pindo, pindo
[Country Boy] Paul Maker can you please cut the beat oog Nataka niongee waambiwe watege sikio Eh wasikize kile nachospeak Very carefully coz I will never repeat
Ukali ni mimi maana naona mkali ni mimi Marapper wako hatari wanajua mkali ni mimi Usicheze na mimi itakuwa ka unacheza na jini Sijui simba mamba, wanoakoma na mimi
Alafu nakurespect ila usinidharau Ukisomea za zamani Chidi Benz Wakati nikikugoogle huonekani Shit is funny but you have to go You see your bitch for me
And you crazy you ain´t got doh Ah I´m the illest it has never been Ata sina crown wananiita king Niko free niko Bob kama Marley Na baby nipige kimoko
Hii ndo serikali kuu na mizuka Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka Watasema tuko pindo pindo Pindo, pindo
Hii ndo serikali kuu na mizuka Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka Watasema tuko pindo pindo Pindo, pindo