Its s2kizzy beiby Yao yao Country Wizzy again, ii Na Konde boy
Kama una mtoto wako njoo naye Usije ukazubaa baadaye Niko na bunduki mi ni roll naye Tuna roll up, roll up, roll up, yeah
Naona ashanga waka waka Na mtoto anavyo kata kata Itakuwaje akimkamata mata Nitamchakaza chaka chaka
Nangoja muda ufike twende ndani(ayayayaya) Kwenye bonge la uwanja kitandani(ayayayaya) Nikuonyeshe vile mi hufanya mami Sinanga utani, utani, utani, utani
Tuna watoto wakali ooh Kali oooh, kali ooh, kali ooh Nyuma wana makalio
Kali oooh, kali ooh, kali ooh(iii)
Temeke na kinondoni(haya) Nala manzese na mwana mnyamala mala Hivi viatu vipo mfukoni(haya) Anapigaga peku ya mipira tandala ndala
Nawa scare machezo anaunda kamati Wana dance ana viuno nalo body body Inabidi nijiongeze niwe big daddy Yes I am a big daddy and am a move daddy
Woo..
Mama wewe ni fire yo Umekusanya kama kwaya yo We ni number 1 desire girl Kwenye michezo we ni mbaya yo
Nangoja muda ufike twende ndani(ayayayaya) Kwenye bonge la uwanja kitandani(ayayayaya) Nikuonyeshe vile mi hufanya mami Sinanga utani, utani, utani, utani
Ooh beiby, Katika piga magoti, piga magoti Acha wanaopiga majungu Asa namwaga manoti, namwaga manoti Maana nisha hongwa na mzungu
Ona kapandisha uchizi hivyo Kabinuka kama mbuzi kashikwa mapembe Hasira za mkizi hizo Furaha kwa mvuvi, kijino pembe
Tuna watoto wakali ooh
Kali oooh, kali ooh, kali ooh Nyuma wana makalio Kali oooh, kali ooh, kali ooh(iii)
Temeke na kinondoni(haya) Nala manzese na mwana mnyamala mala Hivi viatu vipo mfukoni(haya) Anapigaga peku ya mipira tandala ndala
Its S2kizzy beiby
Konde boy na Wizzy, ii Iyee Country Wizzy ah Konde boy na Wizzy, ii Iyee Country Wizzy ah