Na hunikuti nipo lowkey kama sina fedha 24/7 nimependeza game ya Bongo flava Inabidi utumie akili kujiongeza
Zile simu nilopata wapi Please sitaki tena Gotta hustle hard Mama aishi vyema
Sio rahisi You canÂŽt stop me Boy jipange tena Huwezi shindana na muda unavyosema
Wanauliza huyu ni nani Huyu ndio boy, boy Nembo zote mtaani yule boy boy Napo shika mic, you know it, know it Wana wanatingisha vichwa ladies go wow wow
Nilipambana na nikashinde Kalika nikaimbe
Mama akasema nikipata pesa nikavimbe Sa magoma nasikinde Nachoma cha kiringe Mitozi huna kazi, shika rungu ukalinde
Kama hailipii, kwangu no no no no no no No no no no Haipitiki, usipite no no no no no no No no
Sandaka la wee, la wee, lawee Oooh sandaka la wee, la wee, lawee Sandaka la wee, la wee, lawee Oooh sandaka la wee, la wee, lawee
Hakuna mission, tafuta mission ndo uenjoy Tukinukishe, waombe feni panga boy Wabishi wabishe, natokota haya boyz
Si unataka tuitimishe, anzisha uone boi
Siku hizi sitaki, kona kona Sembe ni nyeupe usiite dona Mrefu, kati, umenona Usidhani ni dem, mikataba ndo nasoma
Nilipambana na nikashinde Kalika nikaimbe Mama akasema nikipata pesa nikavimbe Sa magoma nasikinde Nachoma cha kiringe Mitozi huna kazi, shika rungu ukalinde