Sometimes ups and down Maisha napitia Nacheka naliaa
Wala sioni Msadaa uh ! Ni mungu tu aliyejuu Anaeniongoza aliemkuu Nayaweka kifuani si mwambii mtu Tafaulu yote, kwa nia tu Barabarani jua kali God I need you (heee) God I need you (God I need you) Yeah!
Bado na imani Yote napitia (badoo) Bado na imani (badoo) Yote napitia (badoo) Bado na imani (badoo) (Badoo Badoo)
Bado na imani Yote napitia (badoo)
Bado na imani (badoo) Yote napitia (badoo) Bado na imani (badoo) (Badoo Badoo)
Sinaa... sinaa sinaa Sinaaaa urafiki na dunia yenu (badoo) Sinaaaa... sinaaaa sinaaaaa (nasema sinaaa) Sinaaaa urafiki na dunia yenu (ona na na)
Nilikuja peke yangu bila wenzangu Hakuna ninachohofia zaidi ya Mungu na mama angu Ndo maama niko hapa leo nakusujudia Mengi na kwambia kuna viumbe vinaumia Nivute nkono niweke kwa mlima (Lord) Nikiwa kwako labda tapata uzima Dunia tambala bivuuu walisema watu wazima
Mi nasujudu we umesimama wimaa
Bado na Imani (Badooo) Yote napitia (badoo) Bado na imani (badoo) (Badoo Badoo) Bado na Imani (Badooo) Yote napitia (badoo) Bado na imani (badoo) (Badoo Badoo)
Sinaa... sinaaaa sinaaaa Sinaa Urafiki na dunia yenu (sinaaaa) Sinaaaa (huhuuu) sinaaa sinaaa Sinaaaaa Urafiki na dunia yenu (ona na na) Sinaaa sinaa sinaa Sinaaaaa Urafiki na dunia yenu (badoo) Sinaaaa sinaaa sinaaa (sinaa)