Akikaa na mashoga zake sifa kwangu mimi Anadai ni mimi tu mwingine wa nini? Alivyo ni beautiful nashindwa kuamini Minywele misinga singa macho kama jini
Pale penye tumetoka hawajui nawe Milima na mabonde tumepigwa mawe Bahari ya mapenzi nakatiza nawe Na wewe

You give me appetite Nakunyonya mpaka my love bite You give me appetite Nakunyonya mpaka my love bite
You make me say, we ni nuru We ni nuru, we ni nuru She make me say, we ni nuru
Better wakiniita Babylon Ilimradi nakufuata mi sioni
When you walk(When you walk) Ujue unanichosha kabisa Na uki booty bounce Mie unaniroga kabisa
Me and you till I die Till I die Nitakufuata mpaka mwisho wa uhai Mwisho wa uhai
Pale penye tumetoka hawajui nawe Milima na mabonde tumepigwa mawe Bahari ya mapenzi nakatiza nawe Na wewe
Pale penye tumetoka hawajui nawe Milima na mabonde tumepigwa mawe Bahari ya mapenzi nakatiza nawe Na wewe
You give me appetite Nakunyonya mpaka my love bite You give me appetite Nakunyonya mpaka my love bite
You make me say, we ni nuru We ni nuru, we ni nuru She make me say, we ni nuru
Come close, come closer Tonight ooh come closer Beiby come closer