Ahhh ! Wayu wayu woooh ooh ! Buda boss bad man on this tinga Wayu wayu Woooh ooh ! (MJ Recrods) Wayu wayu Woooh ooh !
Wanashangaa wale jamaa Wenye napendwa sana (mimi nawe) Mi kidagaa, na sina chapaa Ndipo wananitukana ( mimi nawe) Nawakanyaga kama soksi zangu (buda boss) Na bado napingana na hali yangu (bad man) Amini we ndo damu yangu Hata nikifa leo we ndo msiri wangu Eti mama, sinakufaa Natunafikishana ( mimi nawe) Inuka kaa, kazime taa Mi nalima sana (mimi nawe) Nawakanyaga kama soksi zangu (buda boss) Na bado napingana na hali yangu (bad man) Amini we ndo damu yangu Hata nikifa leo we ndo msiri wangu (baby)
Mtoto jicho kungu manga Wala hautoki tanga Hata nikiwa na njaa Hawa nawaza kukumanga Vita yetu kwenye bedi siyo ya panga Si wapinzani ye simba mi nyanga Mdalawane emuarenawe Wanamualaa (wanamualaa) eeh ! Muruchi wange kadiche wange Wanamualaaa ( wanamualaa) eeh!
Wakija kwako na maneno musururu Wanakuambia natumia puturu
Wote wambea waonga ka kunguru Lakini bahati mbaya mdomo Hatulipi ushuru
Nawakanyaga kama soksi zangu (buda boss) Na bado napingana na hali yangu (bad man) Amini we ndo damu yangu Hata nikifa leo we ndo msiri wangu (baby)
Hawakanyaga kama soksi zanga (buda boss) Na bado napingana na hali yangu (bad man) Amini we ndo damu yangu
Hata nikifa leo we ndo msiri wangu (baby) Nawakanyanga kama soksi zangu (buda boss) Na bado napingana na hali yangu (bad man) Amini we ndo damu yangu Hata nikifa leo we ndo msiri wangu (baby) Aahh! Wayu wayu Wooh ooh!