Msalabani ulimaliza yote niko huru Msalabani ulimaliza yote niko huru Umenivalisha utukufu wako, Yesu wangu Jinsi ulivyo ndivyo nilivyo Jinsi ulivyo ndivyo nilivyo
Pokea, pokea utukufu Yesu Pokea, pokea heshima zote Pokea, pokea utukufu Yesu Pokea, pokea heshima zote
Umenipa vyote tena wewe wangu Umenipa vyote tena wewe wangu Umenipa vyote tena wewe wangu Umenipa vyote tena wewe wangu