Aya Rabi takabari dua Amina (We don kiwango) Ya Rabbi itikia dua Amina Ya Rabbi takabari dua Amina Ya Rabbi itikia dua Amina
We kila siku me naomba dua Irudi tena Yamoto Band Na namuombea Harmonize Asimcopy diamond
Roma naona hajakoma Naomba atekwe tena Harmorapa azae na Wema Na Manfongo abahatishe tena
Shoro Mwamba ache kuimba anitazamie mbwa nyumbani Mondi amtibie Ruge yaishe wawe kama zamani Rayvanny arudi Tip Top maana kule ndo nyumbani Kiba ashinde Diamond karanga apige picha hadharani
Basi ya Rabbi takabari dua
Nakuomba itikia dua Ya Rabbi takabari dua Mi nakuomba itikia dua
Basi ya Rabbi takabari dua Ah nakuomba itikia dua Ya Rabbi takabari dua Mi nakuomba itikia dua
Yani dua langu dura lipenye Likafike mpaka temeke Mkubwa Fella na kusemwa kote Kukuza vipaji asichoke
Dua lisiishie hapo Mpaka kwa majizo lifike Apeleke singeli internationally Na sisi tuheshimike
Dua lifike kitandani alipo lala Mwarabu Fighter Kila akivuta shuka ahisi Nasibu anamwita Dua lipenye mtandaoni tupate kustajabika Kwenye page ya mbosso Khani nione Rukia kachafuka
Dua kwa baba chongÂŽe lisije likamkorofisha Baba Aaah Dulla kaleta barua, aaah barua ikarudishwa Dua kwa Dimpozi Omary afya izidi kujengeka Aje atoe ngoma nyingine Baba, Steve Nyerere azidi kuuguka
Basi ya Rabbi takabari dua Nakuomba itikia dua Ya Rabbi takabari dua Mi nakuomba itikia dua
Basi ya Rabbi takabari dua
Ah nakuomba itikia dua Ya Rabbi takabari dua Mi nakuomba itikia dua
Nani mwenye kamera anipige mafoto Nauliza nani mwenye kamera achukue video Wanangu nani mwenye kamera anipige mafoto Wemakizube nani mwenye kamera achukue video