Nimekaa nalo limenishinda mi nasema Wenzangu napenda mnaniponda mi nasema Nimekaa nalo limenishinda mi nasema Wenzangu napenda mnaniponda mi nasema
We kuna siri zao nazijua Ila kusemaga ndo sipendi Mzee wa Bwax alipiga mtungo Tena watu walikuwa kikundi
Mejja kafumaniwa Rozana Mpaka leo meno hana Msaga amekosa dili la maaana Sababu hajui kusoma
Manfongo hali yake mbaya Mpaka sikukuu show hana Sholo Mwamba hataki meneja Usela kazidisha sana
Isema na ana nyimbo mbili Tayari kanenenepeana Iskibe nadhani mtoto wa mama
Naskia wanagombea bwana
Basi wanangu mi nawasanua Sababu siri zenyu nazijua Wanangu mi nawasanua Nikikaa kimya mnaniona fala
Ooh jamani mi nawasanua Ah kutwa kucha mnaniongelea Wanangu mi nawasanua oo Sababu siri zenyu nazijua
Yaani mengine yanasikitisha Na mengine yanachekesha Yuda msaliti alopandaga ndege Leo shida zinamzeesha
Vidonda za mio ebu acheni upendeleo
Yudah msaliti alopandaga ndege Tami mwana uongozi Mpaka leo anaishi kwao
Tumemsahau Kapala Ila ye kwetu ndo Baba Mc Sudi na Ponela Yameshakuwa mapaka ya baa
Basi wanangu mi nawasanua Sababu siri zenyu nazijua Wanangu mi nawasanua Nikikaa kimya mnaniona fala
Oooh jamani mi nawasanua Ah kutwa kucha mnaniongelea Wanangu mi nawasanua oo Sababu siri zenyu nazijua
Ah tia tia tia tia tia (McZo Morfan) Hatari hapoo
We na Dulla huo ukweli huo Ukweli huo, ukweli huo Huo ukweli huo...
Mashetani yamepanda dada amevunja kiti Yamepanda dada amevunja kiti Kwenye mziki kamwamsha ibilisi Ah kwenye mziki kamwamsha ibilisi
Unajiita chura, hii wewe chura cheupe Jiita chura hey dada chura keupe Kama chura kweli basi ghetto twende wote Twende wote ukacheze iokote Mama wote we iokote
Na basi njia kata hata kama sijakutaja hizo Njia tena hata kama sijakutaja Njia kata hata kama sijakutaja Kama chura wa kweli kama vipi sugua gaga Sugua gaga ikibidi vunja chaga Sugua gaga, funua paja
Usikae kiboya mama we tumia wee Ukiona demu anacheza we bambia wee Ukiona mama unamuita, unamfuata Kama bado haujalewa, lewa ita una mjanja
Unamwita unamfuata Kama bado haujalewa, lewa ita una mjanja Usikae kiboya mama we tumia wee Ukiona demu anacheza we bambia wee