Aah wanangu nimeghairi, nimeghairi Ah jamani nimeghairi, nimeghairi Na kwanza nimeghairi kufa Nimeghairi kujiua nimeghairi kufa Nimeghairi kujiua nimeghairi kufa
Kila nikiwaza kibao kata wale chura napagawa Pengine demu wangu nazikwa wiki ijayo anaolewa Walionibroke kila sehemu pengine ndo watalia Alafu Fela na Tale mchango wasitoe hata mia
Hio siku wengine usoni watalia Ila moyoni watacheka Na media zilonibania Ntapigwa kila dakika
Waimba singeli watatokea mpaka ambao tuna ugomvi Nitazikwa na singeli yangu kama Kabumba na Bongo movie Walivyoishi vizuri na Wasafi mi mpaka siamini Eti Konde Boy kaja kuzika ila chibu haonekani
Msimu wangu nasikitika tumetulia kwa pembeni
Ukimuona Lava Lava na Mbosso Khan Wanatongoza msibani
Ah Mungu kwa watoto wa mjini Kaonesha maajabu yake Ulomnyima sura kampa shepu wakomeshe Watoto wa mjini tunaona maajabu yake Alomnyima sura kampa shape wakomeshe
Sepetu ana shepu yake kanionyesha we Wolper ana shepu yake kanionyesha We Gigy Money ana shepu yake kanionyesha we Uwoya ana shepu yake kanionyesha
Mnadai Pierre na si aibu ndo mmemtimua We meneja mokwapi We kama hamtaki hasa ule mbona mlipa hela ya kulewa Baridi tu pisi
Mia tisa tisini na tatu nipigie namba ile ile Hela tuma kwa namba ya Lokole ndo imesajiliwa kwa kidole Kwanza wengua kama inabana ka vipi ichane mpasuo Kwapo ulipo simama ka vipi weka kituo Si unajua mwenye ghetto huwaga hakosi funguo
Una hatari bwana, una hatari wee Una hatari bwana, una hatari Una hatari bwana, una hatari wee Una hatari bwana, una hatari
Aah jamani chura Anakatika mpaka anakera hakai ngezi Ah chura huyu mtoto wa Mbagala haelewi Anakunywa pombe mpaka sigara jamani aah
Mashalove nionyeshe uchura Tuwatunze na hela Nionyeshe uchura, tuwatunze
We lete chura Mbaghala Wa mwana Nyamara au wa kinondoni, Magomeni Walete wa mazeze, wa Temeke Wa Ilara mpaka Mbaghala
We tingisha moja moja bwana Bado sijaona Moja moja bwana, na wanangu
We tingisha la kulia, la kulia We mwanagu la kulia, la kulia
Sijaona la kushoto, we kushoto Mwanagu kushoto we kushoto Basi changanya changanya bwana Na mwanangu tena We changanya bwana bado sijaona
Changanya nione, we nione Basi zungusha nione, we nione Basi kiwango tuone bwana Anaitwa Doni kiwango Anakusalimia Dj kidogo dogo