Oooh ningekuwa demu Aaah wanangu ingekuwaje Kama ningekuwa demu Najiuliza ingekuwaje Kama ningekuwa demu?
Yaani madanga yangenikoma Kama ningekuwa demu Ningeitwa shemeji kila kona Kama ningekuwa demu
Kwanza mi na bwanangu Mikonge kwa kulala Maana navo upenda Ule mchezo kama chakula
Na katika pochi langu Hirizi ndo zingetawala Nyi mkiroga mpendwe Mi naroga nihongwe hela
Hata ukipaka mkongo Mi ningetaka kuendelea
Makelele kama nachinjwa Hata kama bwana ana kibamia
Na nikikupa siku moja tu Lazima utangaze ndoa Mimba hata ya miezi tisa Mi ukinitibu natoa
Na nikilewa sikatai Mi ndo chakula cha masela Singeli hata ipigwe huko Ni lazima nitacheza chura
Yaani najiuliza Ingekuwaje ningekuwa demu RJ kichwa nauliza Ingekuwaje ningekuwa demu
Aaah wanangu ingekuwaje Kama ningekuwa demu Najiuliza ingekuwaje Kama ningekuwa demu?
Yaani madanga yangenikoma Kama ningekuwa demu Ah! Ningeitwa shemeji kila kona Kama ningekuwa demu
Aah mazoea mazoea hujenga tabia Binti Santos anajulikana kila kona Kwa offer za bia Kweli mazoea mazoea hujenga tabia mama
Ah bosi nelea naitwa baby tila Pande za offer za bia
Waimba singeli nina siri zao, nina siri zao Nina siri zao mi nataka niwaambie Nina siri zao, nina siri zao Nina siri zao mi nataka niwaambie
Naona wamechoka sana Nawapa gogo wakalie We nasikiwa wamechoka sana Nawapa gogo wakalie
Mwanangu ukiroga huku Na mimi naroga kule Mwanangu ukichinja huku Na mimi nachinja kule
Ala shindo na ukichimba huku Na mimi nachimba kule We tindo ukioga huku
Na mimi naoga kule
Yangu njia, yangu njia.... Yangu njia, yangu njia....(Wika) K Money ndo mwanangu we Dulla nakukubali Yangu njia, yangu njia....
We sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali Yangu njia, yangu njia.... Dulla hatari damu yangu mwanao nakukubali Yangu njia, yangu njia....
Mi sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali Yangu njia, yangu njia.... HK we mwanangu mi Dulla nakukubali Yangu njia, yangu njia....
We sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali
Yangu njia, yangu njia.... Yaani Papichullo mwanangu we Dulla nakukubali Yangu njia, yangu njia....
We sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali Yangu njia, yangu njia.... We Jacky Wolper mwanangu mwanao nakukubali Yangu njia, yangu njia We sikukatai sikupingi bwana tumetoka mbali
Tia mguuu..
Basi twende Napenda likienda napenda likirudi... Napenda unavyochezesha wowowo...