Jamani mnifungue niondoke (Sema kweli) Kama mnataka pesa semeni niwape (Sema kweli)
Naomba mnifungue niondoke (Sema kweli) Mi nishasema sijui chochote (Sema kweli) Wanangu mnifungue niondoke (Sema kweli) Kama mnataka pesa semeni niwape
Yaani kusema kweli mi malaya Kusema kweli sipendi mademu wabaya Kusema kweli mi sipendi kuoga Na sipandi jukwaani bila kuroga Kusema kweli mi napenda kuhongwa Na siwezi kulala bila ya kugonga
Unajuaje kama anadanga sio kama unadanga naye Umejuaje kama anawanga sio kama unawanga naye
Waaimba singeli anayetaka kiti Aseme nimsikie Makabila nishasimama mwambieni aje akalie Aweke imani, ata hatuongei Namwona boss Tale siku hizi amepanda bei Hata sniper, we mendez hata hatuongei
Namwona Mose Kunambi siku hizi amepanda bei
Wanangu wanateleza, wanateleza.. Dula Tale anateleza ana Valid mtu pisi anateleza, anateleza Picha Omari anateleza, anateleza Doni Fumbwe ah tia tia tia...