Hayupo sawa kichwani Kaona utupu wa babake Asipate laana kwanini
Michezo yake mashabiki wanasikitika Kumbe mpenzi wa Lokole na yeye anamtaka Kwa akili yako kajua baba Mkewe Kajala nale atakupa Paula
Baba bila kulipwa kacheza Ex Mali za mama hadi mtoto akaringishiwa Konde ulipambana kama mzazi Kamwaga mahela ili Vanny aende jela Omba msamaha kwa kudhalilisha jeshi Ukisamehewa niozeshe Anjela
Yanamuhusu, yanamuhusu Yanamuhusu, yanamuhusu
Yanamuhusu, yanamuhusu Yanamuhusu, yanamuhusu
Kajala washa taa Jacky Wolper washa taa Paula washa taa Ah tia tia tia tia We Mendez anakusalimia Ricardo Momo