Jirani ananimada TTTTTTT Wowowowowowowooo ooh Mama wololo ananimada Mwenzenu mi napagawa
Amejibeba mwenzenu mi napagawa Its your girl Faith Stan Worldwide Are you ready for me?
[Timmy Tdat] So umefika aje neighbour na vile umejibeba Si 1st of May but nduru ni za labour Okay na deliver so nduru ni za labour Si kutuma barua lakini umejileta
Nina kakitu tamu kuliko pesa We ni mtoto wa campo so nakutesa Cheki nyuma ni biggy but mbele iko lesser Nyumba ni safi nakanyaga ka lesser
Makarao hawanipendi ju sina kitu kidogo We unaipenda ju ni kubwa tu kidogo
Unanichokoza nikupige maviboko Na mi ni mchafu nilichoresha fika Mavoko
Mama wololo jirani ananimurder (Ananimurder) Amejibeba, mwenzenu minapagawa (Mi napagawa) Mama wololo, jirani ananimurder (Ananimurder) Amejibeba mwenzenu minapagawa
I like the way you look at me Boy can I come closer I like the way you lift that thing Babe can I come over
Jirani jirani Mi nawewe tupendane Uje kwangu nije kwako That´s the deal my neighbour
Jirani jirani Mi nawewe tupendane Uje kwangu nije kwako That´s the deal my neighbour
(FaithStan)
Sijapata kama wewe, kijana uko sawa Kuna nini kwako leo unakasafisha Ati parte after parte lazima nifike My type, my type, call me doctor love
Mama wololo jirani ananimurder (Ananimurder) Amejibeba, mwenzenu minapagawa (Mi napagawa) Mama wololo, jirani ananimurder (Ananimurder) Amejibeba mwenzenu minapagawa
I like the way you look at me
Boy can I come closer I like the way you lift that thing Babe can I come over
Jirani jirani Mi nawewe tupendane Uje kwangu nije kwako That´s the deal my neighbour
Jirani jirani Mi nawewe tupendane Uje kwangu nije kwako That´s the deal my neighbour
Mama wololo jirani ananimurder Amejibeba, mwenzenu minapagawa Mama wololo, jirani ananimurder Amejibeba mwenzenu minapagawa
Makarao hawanipendi ju sina kitu kidogo We unaipenda ju ni kubwa tu kidogo Unanichokoza nikupige maviboko Na mi ni mchafu nilichoresha fika Mavoko
Jirani jirani Mi nawewe tupendane Uje kwangu nije kwako That´s the deal my neighbour