Moyo wangu inakwenda mbiyo Tabasamu lako maua Mwendo wako na maringo inanipeleka ulingoni Moyo wangu simama Nimepata kipenzi
Mimi kwako nimefiika (oooh lalala) Kwa mwingine sitaki (oooh yayaya) Nikikuona ni kama nakuona... kwa kio, kwa kio You one in a million Nachagua wewe tu I will choose you anytime
Usiende mbali na Mimi Milele mimi na wewe Usiende mbali na mimi Ooh yayaya
Usiende mbali na Mimi Milele mimi na wewe Usiende mbali na mimi Ooh yayaya
Kila uku wami uhora
Nayi maruha kussi bavouni I Roho yangou yo ni hodza (eh yeah yeah yeah) Namo wona mwendro waho mavareni Dharuba de yikao chitsoini Nissi hu vendza kiyassi yahu tocha Matso yaho yo vaga uku uri mwezi (yeah yeah yeah) Mungu ahuva uzuri na ujuzi Kweli subira uka na nyongo Nambiya ka ussi tsaha nifanye ntrongo Tsoko yontsi pare rike voimoja (voimoja, voimoja) I Roho ilemewa Wala ussi darawu mahaba yangou Yo kayassina mpaka
Usiende mbali na Mimi Milele mimi na wewe Usiende mbali na mimi Ooh yayaya
Usiende mbali na Mimi Milele mimi na wewe Usiende mbali na mimi Ooh yayaya