Ni rahisi kwa daktari kutoa tiba kwa mgonjwa apone Kasha mwenyewe apate magonjwa kama yale yale aage Nirahisi kwa mchungaji kuombea mwenye dhambi aokoke
Kisha mwenye we apate majaribu kama yale aanguke Ni rahisi kuona kibanzi ndani ya jicho la mwenzako Wakati wewe mwenyewe una boriti ndani ya jicho lako
Kutoa hukumu, Kwa wenzetu Ni kawada ya binadamu Tunasahau kila mmoja Ana madhaifu mbali mbali Aliye na haki Kutoa hukumu Ni mwenyezi mungu pekee (Aliye na haki Kutoa hukumu Ni mwenyezi mungu pekee)
Kuna tofauti kati ya kukosoana na kuhukumiana
Kuna wengine mpaka wanapitiliza wanatukanana Instead of judgment let´s correct each other with love Let´s correst each other with love Acha tukosoane kwa upendo oooh
Kutoa hukumu, Kwa wenzetu Ni kawada ya binadamu Tunasahau kila mmoja Ana madhaifu mbali mbali Aliye na haki Kutoa hukumu Ni mwenyezi mungu pekee (Aliye na haki Kutoa hukumu Ni mwenyezi mungu pekee