Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana Penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu kiko better Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana
Penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better
Ibilisi ananyeta Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta Anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better Inazidi kunyesha Ibilisi ananyeta Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta Anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better Inazidi kunyesha
Asifuye mvua imemnyea Namsifu ju amenitendea, Maajabu, maajabu Ata wewe ukimkujia Najua atakutendea
Maajabu, maajabu
Kuna wenye dhambi, wengine takatifu Jua likiwaka linawawakia wote Wengine janjajanja Wengine waaminifu Mvua ikinyesha inawanyeshea wote Kuna wenye dhambi, wengine takatifu Jua likiwaka linawawakia wote Wengine janjajanja Wengine waaminifu Mvua ikinyesha inawanyeshea wote
Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana Penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana
Penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better
Mungu wangu anapenda penda penda Na sa ndio maana minadeka deka deka Mungu wangu anapenda deka Penda deka Anani penda nadeka Mungu wangu anapenda penda penda Na sa ndio maana minadeka deka deka Mungu wangu anapenda deka Penda deka Anani penda nadeka
Nikimwita anacome through Ndo maana namsifu Maombi anajibu
Yeiiy
Kuna wenye dhambi, wengine takatifu Jua likiwaka linawawakia wote Wengine janjajanja Wengine waaminifu Mvua ikinyesha inawanyeshea wote Kuna wenye dhambi, wengine takatifu Jua likiwaka linawawakia wote Wengine janjajanja Wengine waaminifu Mvua ikinyesha inawanyeshea wote
Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana Penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana
Penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better
Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana Penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana Penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better