đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales đŸŽ€đŸ’ƒ

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Guardian Angel
Titre : Nishike Mkono
Depression ni mtu mgani uno
Na anatoka wapi?
Anamaliza watu wa Mungu
Wanakwisha kila siku

Ndoa za watu anazorotesha
Kazi zao wanapoteza
Baba naomba nishike mkono
Ukiniacha ataniangamiza

Adui mla watu yupo
Kazi yake ni kuiba kuua na kuangamiza
Ukiniacha mwenyewe
Kweli ataniangamiza

Adui mla watu yupo
Kazi yake ni kuiba kuua na kuangamiza
Ukiniacha mwenyewe
Kweli atanimaliza

Naomba unishike mkono bwana
Nishike mkono
Nishike mkono bwana

Nishike mkono

Nishike mkono bwana nishike mkono
Ukiniacha devil atanizidi siko fiti
Nishike mkono
Nishike mkono bwana
Nishike mkono

Ukiniacha ataniangamiza Messiah
Nishike mkono
Nishike mkono bwana
Nishike mkono

Walio soma, walio na kazi wana mali
Anapanguanisha maisha yao yanakuwa funny
Depression we ni nani?
Na unaletwa na nani? Kwanini?

Achana na watoto wa Mungu wafanikiwe
Walio chini ata nao wainuliwe
Mipango ya Mungu kwa maisha yao itimie
Itimie eeh itimie

Adui mla watu yupo
Kazi yake ni kuiba kuua na kuangamiza
Ukiniacha mwenyewe
Kweli atanimaliza

Adui mla watu yupo
Kazi yake ni kuiba kuua na kuangamiza
Ukiniacha mwenyewe
Kweli atanimaliza

Naomba unishike mkono bwana
Nishike mkono
Nishike mkono bwana

Nishike mkono

Nishike mkono bwana nishike mkono
Ukiniacha devil atanizidi siko fiti
Nishike mkono
Nishike mkono bwana
Nishike mkono

Ukiniacha ataniangamiza Messiah
Nishike mkono
Nishike mkono bwana
Nishike mkono

Oooh oooh oooh ...

Nishike mkono
Nishike mkono bwana
Nishike mkono

Nishike mkono
Nishike mkono bwana
Nishike mkono