Ulivyo leo, hiyo ni ya leo Huenda kesho iyo rada ibadilike Matatizo uliyo nayo, ni ya leo Hizo shida ulizo nazo, ni za leo Huenda kesho iyo rada ibadilike
Oooh Rada ibadilike (ulalala) Rada ibadilike (ulalala) Huenda kesho iyo rada ibadilike (ulalala)
Na ibadilike (ulalala) Rada ibadilike (ulalala) Huenda kesho iyo rada ibadilike (ulalala)
Wamekubandika majina Wakakuitanisha na shida Hawajui kunaye, anayepeana majina
Hawajui na hawawai jua Ni nini kesho Mungu amepanga na maisha yako Cha muhimu ni wewe kujitambua Na usonge na rada yake
Hawajui na hawawai jua Ni nini kesho Mungu amepanga na maisha yako Cha muhimu ni wewe kujitambua Na usonge na rada yake
Ulivyo leo, hiyo ni ya leo Huenda kesho iyo rada ibadilike Matatizo uliyo nayo, ni ya leo Hizo shida ulizo nazo, ni za leo Huenda kesho iyo rada ibadilike
Rada ibadilike (ulalala) Rada ibadilike (ulalala) Huenda kesho iyo rada ibadilike (ulalala)
Na ibadilike (ulalala) Rada ibadilike (ulalala)
Huenda kesho iyo rada ibadilike (ulalala)
Wanakusema sema sana, we kazana Usichoke kupambana, yote ukimwamini Bwana Story yako itabadilika Walinisema hivyo hivyo hivyo hivyo Ona sasa, story yangu imebadilika Aliyefanya hivyo hivyo hivyo hivyo Kwangu mimi, kwako pia atabadilisha
Ulivyo leo, hiyo ni ya leo Huenda kesho iyo rada ibadilike Matatizo uliyo nayo, ni ya leo Hizo shida ulizo nazo, ni za leo Huenda kesho iyo rada ibadilike
Rada ibadilike (ulalala) Rada ibadilike (ulalala)