El Shaddai Uko na kile mi nadai Ulinipenda hata kama mi sifai El Shaddai El Shaddai El Shaddai
Uko na kile mi nadai Ulinipenda hata kama mi sifai El Shaddai El Shaddai
He´s an awesome God Amenipa such an awesome song And I´m never lonely Amenipa such an awesome love He´s an awesome God And I wanna tell it to the world Ili wajue ni wewe Kama si wewe basi nani?
Naskia landi-lodi ako kwa njia anataka kodi Ni wewe utaprovide Na nina ngori moyoni zinanijaza worry Ila nitakua fine
El Shaddai Uko na kile mi nadai Ulinipenda hata kama mi sifai El Shaddai El Shaddai El Shaddai Uko na kile mi nadai Ulinipenda hata kama mi sifai El Shaddai El Shaddai
Everyday everyday is an awesome day Vile unanibariki hata mimi sielewi Everyday everyday you come through in an awesome way Kwenye dhiki nimepata rafiki, rafiki wa kweli
Na kuna ka-loani mahali kananijaza worry Ni wewe utaprovide Nina mahari natamani kulipia mpenzi
Sote tutakua fine Na madakitari wanasema hali sio hali Wewe unajua time Nahisi nguvu zako kwangu I will call you El Shaddai
El Shaddai Uko na kile mi nadai Ulinipenda hata kama mi sifai El Shaddai El Shaddai El Shaddai Uko na kile mi nadai Ulinipenda hata kama mi sifai El Shaddai El Shaddai El Shaddai
Dear Lord Grant me the serenity To accept the things I cannot change
The courage to change the things I know I can And the wisdom To know the difference
El Shaddai Uko na kile mi nadai Ulinipenda hata kama mi sifai El Shaddai El Shaddai El Shaddai Uko na kile mi nadai Ulinipenda hata kama mi sifai El Shaddai El Shaddai El Shaddai