Order! Court is in session In the matter of the people Versus the Papaya Family Mr. Prosecutor please, Proceed!
Mr. Papaya, uko pabaya What do you expect when you jump out of the frying pan straight into the fire YouÂŽre the definition of a hyena, a cheetah dressed in sheepÂŽs attire Na kila uendapo kazi yako ni kusteal kukill na kudevour Maji ulikatia kwenye metre, ona vile hatupigi shower Unamezea bibi ya wenyewe mate, huoni hata haya Mr. Papaya cheats, Mr. Papaya lies Mr. Papaya eat your food and leave your plate dry Mr. Papaya sleeps and he never ever try Mr. Papaya please haya mambo hayafai
Mr. Papaya, Uko pabaya
Mr. Papaya, Uko pabaya LaLa LaLa LaLa La Laaaa LaLa LaLa LaLa La Laaaa
Mrs. Papaya, Uko pabaya Mrs. Papaya, Uko pabaya Mr. Papaya na Mrs. Papaya nyote mko pabaya In fact Toto Papaya Nyote pamoja nyote mko pabaya That is the PAPAYA FAMILY