Mi napenda kupea dem yangu attention From kisses kwa bus station to mentions kwa radio station 4.20 tupate session Na si unajua studio pia hawezikosa session
Yaani hii sio love tu Hii ni passion That one person Shikilia my heart, na keys za mansion (Skoko)
Dua langu la kuku hatimaye limempata mwewe Amenipa nafasi naahidi ntavuka na yeye Natty safi anang´aa Ye ndio maana mi nachuna kaguitar Meno safi tabasamu anipa raha Wanashangaa mbona mi niko ithaa Mishoni zangu tena sifanyi gizani mama Umenibring tu the light Ni ka niko kwa party geshaggy na muratina You make me feel alright Sunday to Sunday kamata nikamate Nataka mpaka kwenye mtandao tutangaze
Picha kwenye Ghafla tukikatana mate Mpaka mahater wakipatepatepate
When it rains na uko tao na hukubeba umbrella Just call my name I´ll dry the place uthani hata uko Mandera Na nikiweza sema ntasema Dunia nzima we ndo napenda Na nikiweza sema ntasema Dunia nzima we ndo napenda
Wanasema Nina P. D. A, P. D. A (EEEH) P. D. A, P. D. A (WOYOYO) P. D. A, P. D. A Juu ninaPea Dem Attention
Wanasema Nina P. D. A, P. D. A (EEEH) P. D. A, P. D. A (WOYOYO)
P. D. A, P. D. A Juu nina Pea Dem Attention
Ukweli nilifanya mambo kukupata wewe sasa wamejaa tu mahaters (HATERS) Lakini baby stay with me si lazima tuwaskize nitakupa tu attention (ATTENTION) Future iko bright sana baby dunga shades skiza ngoma zetu kila station (STATION) Lakini baby stay with me si lazima tuwaskize nitakupa tu attention (ATTENTION)
And I´ll be there for you no matter what they say or do And you´re my kinda flavour umenikunywa you´re my juice
Mpenzi be ready
Nitasupply the love, mimi kama pedi Anytime Anywhere sitasleki Niko ready kukupa all the attention
Oh Gosh I forgot to mention Unanipa ham pamoja na bacon Kukiwa na noma we ndo intervention Na sitaki badilisha situation No No No
When it rains na uko tao na hukubeba umbrella Just call my name I´ll dry the place uthani hata uko Mandera Na nikiweza sema ntasema Dunia nzima we ndo napenda Na nikiweza sema ntasema Dunia nzima we ndo napenda
Wanasema Nina P. D. A, P. D. A (EEEH)
P. D. A, P. D. A (WOYOYO) P. D. A, P. D. A Juu nina Pea Dem Attention
Wanasema Nina P. D. A, P. D. A (EEEH) P. D. A, P. D. A (WOYOYO) P. D. A, P. D. A Juu nina Pea Dem Attention