Niko kwa baze kwa maskan Nafurahi tu sana Mama otek do chapat Niwai crate ya Fanta Watoi wafurahi ni kama mi ni Santa
Niko blessed to sana si unajua mi producer Pewa can za Tusker Rice na nyama pewa kenya unataka Turuke tudance na tuongeze tu laughter Tucheke tu sana ju ni krisi Ino kwa mfuko pilipili Jino kwa jino mi sishibi Akinyi na Wanjiru wapi Cindy?
Sauti za watoto wakicheza zanifurahisha roho Naona mama amewasha moto anajiandaa kupika chapo Maji tayari pasha joto, leo sikukuu mlo Lazima suti tumepima ee
Kuna tukuku na tumbuzi tumechinja Na tunazo mboga na matunda asali mayai na maziwa Furaha hakuna kupimiwa, shibe chunga kuzidiwa Krisimasi imefika tusherehekee
Songea tule, songea tule Songea tule, songea tule Songea tule, songea tule Songea tule, songea tule
Kuna wengine sikukuu ni ho5 na wengine Gucci Wengine chapo minji matoke nyama choma Kachumbari tamu ongeza juu uji, haribu waistline kabisa Wengine mziki tam tam na marafiki karibu Wengine mogoka mashavu imejaa taxin, si unajua lazima Wengine chapana na chupa za bia haribu madollar kabisa Wengine hata hakuna wanatafuta tafuta kwa pipa Wengine hustle inaendelea kama kawaida Wengine kanisani shukuru Mola kwa maisha
Wengine lazima sikukuu familia karibu, rip kuku zote na mambuzi pia
Next year karibisha mwaka mpya na si unajua resolutions Lazima ni mpya, resolutions hakuna Ulevi ati ni lazima nitaacha kunywa Mlezi eti ni lazima usingizi kupimwa Wengine ati mpango wa kando ni lazima aweke kando Karibu, wivu ya watoto
Next year mimi kukula ni mapizza tu hakuna githeri kokoto Next year mimi sivai tena kinyasa kaptula Next year mimi masuti na ma official mandula Next year mimi hapana zubaa kwa baze tena lazima nitahamia Fedha
Yaani sikukuu ni sikukuu kila mtu sherehekea kwa raha yake DonÂŽt drink and drive ninja kaa safe my ninja Next year bado tunakuhitaji ninja Na ukispend usisahau January Landlord hulipwa pia Na school fees ninja hio hata sitazungumzia
Merry Christmas, happy new year salimia familia Album yetu si unajua inakuja next year
Songea tule, songea tule Songea tule, songea tule Songea tule, songea tule Songea tule, songea tule