Kusema kweli bado nakuhata And on the daily, bado nakufuata Kosa sio hoja, zaidi ya kukupenda Vipi nikatupa ndoto tulizoziota
Uliniwasha nare Enzi zetu za kupare Kwa mvinyo na makali Magizani hadi ngware Nikijifanya dakitare Wa mabinti wale Wenye shepu za hatari Nikapotelea ndani
Ila mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona
Tabasamu la kishua Roho sawa na maua I canÂŽt help miss you every morning Vile unapendeza Kama ningewezajua Yepi ya kutarajia Nisingejipata mashakani Kwa niliyoyatenda
Ninayempenda ni wewe Hakuna mwingine wa Kubadili penzi Ningependa tuelewane Kiburi kisinikosanishe nawe
Uliniwasha bare Na sikushika nare Ukanisema kwa jirani Kwamba mimi kisirani
Aibu za hadharani Vile penzi hatari Njoo unipe amani Kama hapo zamani
Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Ukimwona
Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda
Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona
Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona