Well you see love, makes you do crazy things Ask my shoes, uliza kiatu And what I went through to buy you those rings Ask my shoes, uliza kiatu
Masaibu, ninayoyapitia, kukupeleka dinner Uliza Kiatu Na Gatheri, ninavyokatafuna, eti ndio ukule burger, pizza Uliza kiatu
Ask my shoes, ask my shoes Uliza kiatu, uliza kiatu
Nimekopa nikupe, kumbe we ndio kupe NangÂŽangÂŽana ndio tule, juhudi zangu bure I heard that love should always make us strong But now I feel I think that they were wrong, ask me why Nasema taxi nilipe, rent mi nikupe Nywele zisongwe, Mombasa si twende Mapenzi nikupe, mpaka we uridhike
Nasema taxi nilipe, rent mi nikupe Nywele zisongwe, Mombasa si twende Mapenzi nikupe, mpaka we uridhike
Ask my shoes, ask my shoes Uliza kiatu, uliza kiatu Ask my shoes, ask my shoes Uliza Kiatu (Kitendawili) Uliza Kiatu (Kitendawili)(tega)
Nilimwonyesha mapenzi akanionyesha mfuko Alisema doh ya salon ni thao tu Na kwa mfuko nilikuwa na mbao juu Alisema anaenda PE Akirudi nilimpata akimeza P2(alikutega)
So niko stuck katikati Kama stick ya mshikaki
Nampenda huyu mshikaji But kiatu tu ndo inajua stori Yaani vile, mi humchocha nimemflash bahati mbaya Ju niko na deni ya bob
Collymore yaani vile mi hukanyanga matope kabla nifike kwa lami Na ile stress mi hupitia kabla nimbongeshe kilami Yaani vile, mi humpandisha taxi Then naenda kudandia gari ya moshi Yaani vile, mi humhustlia hadi kiatu yangu inaanza kutoa moshi Yaani vile, mi humuita baby
Juu najua nikimuita Njeri Hiyo r inaeza geuka l Na hiyo moment naeza kuwa nimeispoil Yaani vile, nimetarmac hadi
Timber yangu inaeza geuka Sandak
Yaani vile, yaani ka ni kukokwa nimekopa Yaani ka nikuokoka nimeokoka Yaani ka ni tisa nimepigana tu Ndo niivishe hiyo figure yake namba nane Na hata usiku nipate umenichorea nane Toa moja, (saba)
Vile nimesag mpaka toja Nikamdanganya eti mi naishingi Umoja Nikwamwonyesha mpaka mi si mwana vi-oja Eti nawork mahakamani kusolve vitimbi za dunia Bila shaka mashtaka
Yaani vile hata vile dunia ikasimama tutasimama pamoja Yaani vile, ka mapenzi ni nywele basi we ulinisetia nati
Yaani vile ka mapenzi ni kikohozi
Basi bila shaka niko na TB, niko na fever juu ananiumiza Yaani vile, ka mapenzi ni mistari Basi namwandikia sentensi Matenzi mpenzi nakuenzi vishenzi
Niko chizi, crazy Mwizi, wa mapenzi Nifunge, am guilty Here to testify
Ask my shoes, ask my shoes (ask my shoes) Uliza kiatu (uliza Kiatu), uliza Kiatu (uliza kiatu) Ask my shoes, (yeah) ask my shoes (yeah yeah) Uliza kiatu, (uliza Kiatu), uliza kiatu (uliza kiatu)