Wa kubonga watabonga sana Wakiona jinsi twapendana Na vile kila zetu zinafaana Na vile kila siku nawe furaha Oh my, my I tell you no lie
We stay up all night with candle lights And a bottle wine to set the vibe Watafanya nini kututenga? Waambie wasome lebo speak your mind Oh baby dance to my tempo it´s alright And you´re my kinda rebel so I am Watafanya nini kututenga? Watabonga, watabonga sana Na sitakoma I will keep on loving you my girl Watabonga, watabonga sana Na sitakoma I will keep on loving you my baby Wataboo wataboo (wataboo sana) Wataboo watabonga (wataboo) Wataboo wataboo (wataboo sana) I will keep on loving you my baby
Watabonga bong asana Ni maneno tu ni vigumu kuzozana
Mimi na wewe boo Wamengoja sana kutugawanyisha hawachokki Hawaoni ni mbali tulipotoka binadamu hao Watabonga, watabonga sana Na sitakoma I will keep on loving you my girl Watabonga, watabonga sana Na sitakoma I will keep on loving you my baby Wataboo wataboo (wataboo sana) Wataboo watabonga (wataboo) Wataboo wataboo (wataboo sana) I will keep on loving you my baby
Wa kubonga waende CNN na BBC Ushaaomoka na omollo hao ni TBT Umeivisha kidogo niroge na kikisii Ati wamecatch reason siku hizi hauwatingishii Bakumbuka ile time nilikua nikiishingi dee Ukicome kwa keja ilikua movies tu kwa DVD
Ukanikazia ati hautaki pigwa miti please But I´m chill coz you know me I´m an easy G Wanabonga but kelele tupu Buda yao baby hatutaki kwere huku My apologies kwao but ni ka pole hawataki So the only thing we give em is kidole cha katit They be yapping but me sijui wanasema nini Juu sioni venye inawahusu kati ya we na mimi Juu we na mimi ni callobo moja falmes Papa Jones signing out, girl I know you feel the same OG
Wataboo wataboo (wataboo sana) Wataboo watabonga (wataboo) Wataboo wataboo (wataboo sana) Wataboo watabonga (wataboo) Wataboo wataboo (wataboo sana) I will keep on loving you my baby
Wataboo wataboo (wataboo sana) Wataboo watabonga (wataboo) Wataboo wataboo (wataboo sana) Wataboo watabonga (wataboo) Wataboo wataboo (wataboo sana) I will keep on loving you my girl