Hiyo miinamo huko nyuma yaliyomo yamo eeeh Binti wa makamo come closer na give me some more Kama tunda lilimshinda Adamu akashindwa kuvumilia Sa kwanini tuitane binamu na nyongo itatumbukia Ulimi ukipitiliza kunanimaliza mwenzako bado najiuliza
Hivi ni kweli ama tunaigiza
Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia Zikanipanda hisia na nilipochuchumia maji yakatoka
Amelowa, amelowa amelowa na mvua Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Uuuh aaah ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba Uuuuh aaah kwenye papara pupa nawona washamba Jeupega mwanao wenye kwilejakuloa jejikukila mwanau
Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisia Na nilipochuchumia maji yakatoka
Amelowa, amelowa amelowa na mvua Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba Kwenye papara pupa nawona washamba Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisia