Nilifundishwa na Bibi kijijini jinsi ya kupenda Na mwanamke hapigwi Na ngumi ila upande wa kanga Tena mapenzi sio league Nikakubali kushindwa
Mi sikufunzwa graji Tushindane risasi kwa panga
Mbona niliku thamini Mengi nikakusevia Sitosema hadharani wengi wakayasikia Sio wakunipanda kichwani Hukumbuki tuliko tokea Na kunishusha thamani Kipi nilicho kosea
Ingawa kidogo nlichopata Nkajinyima uridhike Ila hukujali ukanikatili moyoooo! Majirani walinicheka ulipo ni force nipikee Aaaahh! Sio siri ilinivunja moyoo
Kisirani ugomvi bila chanzo
Ni ukweli uko moyoni Sina budi nilivue pendo Ingawa Kishingo upande Aiyoo aiyola eeeh! Sito force unipende OoohKishingo upande Aiyoo aiyola eeeh! Basi bora uendee
Sitosema mapenzi basi nimeumbwa na moyo Moyo wenye matamanio na unapenda pia Ila nitaijutia nafsi nilikufanya chaguo Aaah! Chaguo la moyo kumbe ulipita njiaa