Waambieni wapinzani wanajisumbua CCM chama chetu tumekichagua
Waambieni wapinzani wanajisumbua CCM chama chetu tumekichagua
Uongozi sio jambo rahisi Unataka watu majasiri Wamekazania ubishi Kazi kupinga vilivyo dhahiri
Kazi zote za Magufuli eti hawazioni Elimu na barabara nzuri nazo hawazioni Utekelezaji wa CCM eti hawauoni Umeme maji kila sehemu flyover hawazioni Ndege zilivyojazana nazo hawazioni Ajira kwa vijana nazo hawazioni
Eee Magufuli tembo, tembo wa CCM Dr Halisheni tembo, tembo wa CCM Philip Mangula tembo, tembo wa CCM
Mama Samia Tembo, tembo wa CCM
Utapata simu majaliwa tembo, tembo wa CCM Mashiruali tembo, tembo wa CCM We pole pole tembo, tembo wa CCM Konde Boy tembo, tembo wa CCM
Waambieni wapinzani wanajisumbua CCM chama chetu tumekichagua Waambieni wapinzani wanajisumbua CCM chama chetu tumekichagua
Nauliza nani nani, nani unamtaka tena?
Mapembe yote ya CCM yapite tena Eti nani nani, nani apite tena? Mapembe yote ya CCM yapite tena
Nani nani, nani unamtaka tena? Mapembe yote ya CCM yapite tena Eeh nani nani, nani apite tena? Mapembe yote ya CCM yapite tena
Magufuli, apite wa CCM Mama Samia, apite wa CCM Majaliwa, apite wa CCM Wabunge wote, wapite wa CCM Madiwani wote, wapite wa CCM Wenye viti wote, wapite wa CCM
Waambieni wapinzani wanajisumbua CCM chama chetu tumekichagua
Waambieni wapinzani wanajisumbua CCM chama chetu tumekichagua
Magufuli amesimamia haki Anakesha tena halali Kuna wengine hawataki Usiwalazimishe kukubali
Uchumi unavyopanda, eti hawauoni Tanzania ya viwanda nayo hawaioni Ugungo daraja la kupanda foleni hatulioni Kile kivuko cha Mwanza ameongeza pantoni
Eee Magufuli tembo, tembo wa CCM Dr Halisheni tembo, tembo wa CCM Philip Mangula tembo, tembo wa CCM Mama Samia Tembo, tembo wa CCM
Utapata simu majaliwa tembo, tembo wa CCM Mashiruali tembo, tembo wa CCM We pole pole tembo, tembo wa CCM Konde Boy tembo, tembo wa CCM
Twende piga makofi, piga makofi CCM piga makofi, piga makofi Konde Gang wote tembo