Shii, hmm Zombie star (honey, honey, honey, honey, honey) Abaah star (honey, honey, honey, honey, honey) Jaivah star (awe) Mi´ mwenyewe mega superstar, ah So, utasema nini? (Uh) Uh-uh, uh, na-na-ko, ooh We catching vibe not feeling, wenzako, ooh Uh-uh, uh, na-na-ko Haters shut up, sura baya, toka hapa! No disconnect (mm, yeah, mm) Disconnect (mm, yeah, mm) No disconnect (mm, yeah, mm) Disconnect (mm, yeah, mm) No disconnect Yaw, yaw (Bomboclat) Happy new year, yes, new life Mungu baba, nitoe kwenye kundi la wafu
Wanaonichukia, baridi, barafu Nguo zao safi, moyoni wa chafu Mungu baba nitoe kwenye kundi la wafu Wanaonichukia, baridi, barafu Nguo zao safi, moyoni wa chafu Na kama una bad energy, stay far away Una comment utumbo na hujala we, eh-eh! Na kama una bad energy, stay far away Toka na pigo zako za kifara we (kwendaa!) Shika shikonko, kwenda sukuma Shika shikonko (eeh) Baki huko huko, kwenda sukuma Baki huko huko (kwenda) I´m m- f- superstar Hadi baby, yako inanishangaa Oya dear hater, shut up Sura baya, toka hapa No disconnect (mm, yeah, mm) (yaw, yaw)
Disconnect (mm, yeah, mm) No disconnect (mm, yeah, mm) Disconnect (mm, yeah, mm) No disconnect