Nikifikiria dunia huwaga sipati jibu Nawaza mpaka nadata Nikikuuliza nini dunia huwezi kunipa jibu Hapo ndo napata utata
Mmmh muda mwingine unaweza dhani ni utani Mbona vitu vizuri vyote viwe ni vya shetani Eti mziki shetani, pesa nazo shetani Mpira na pombe shetani Mademu na mihadarati, shetani
Naamini Mungu yupo najua Ndo ananifanya ninapumua Akitaka hata sasa ananichukua Ila mi nataka kujua Ni nini dunia, dunia dunia dunia Hivi ni nini dunia