Bomboooclaaat Kimambo on the beat Aahhhh Konde boy, call me number one
Ya dunia mengi Leo nimegundua utofauti Kati ya raha na furaha Do you know that? Hii dunia inamambo Eti kumbe kuna utofauti Kati ya raha na furaha
Mhh, kale ka distance Baby sikuoni Eti nikajiona nisha move on Utadhani na-enjoy Pombe zimenichosha, nipo hoi Dunia ina siri Sio kila anayekula raha Moyonj mwake anafuraha, eeeh Lord have mercy
Nishagundua furaha yangu ni wewe Kule nilipata raha Ila nkagundua Furaha yangu ni wewe Kwa wengine nitajisumbua Furaha yangu ni wewe Hata siku nikifa, naomba unizike wewe Mimi na wewe, weewe
Siri ya nini, oooh Acha nikwambie Moyo wangu unatamba nao Na wasikutishie wengine Wanautaka wao Ni lazima waichukie Hii couple siyo level zao Asubuhi tukigombana Usiku ndo wapatanao
Mhh, kale ka distance Baby sikuoni Eti nikajiona nisha move on Utadhani na-enjoy Kumbe zimenichosha, nipo hoi Dunia ina siri Sio kila unayemuona bar Moyoni mwake anafuraha Lord have mercy
Nishagundua furaha yangu ni wewe Kule nilipata raha Ila nkagundua Furaha yangu ni wewe Kwa wengine nitajisumbua Furaha yangu ni wewe Hata siku nikifa, naomba unizike wewe
Mimi na wewe, weewe
Yoooh, yooh ItÂŽs Konde Boy Call me number one Bakhresa, aah Konde Music Worldwide Mamasitaaa Tekero Tyokara Mi Amore