Wee ishi kama haukosei Watalao panga halitokei Na kama ikiwa yako haipotei Mmmh ndo wa juu huwaga haongei Ukipata wanasema unaringa ukifulia wewe mjinga Wamezaliwa kupinga hata apangalo babaa ah Ebwana fanya unachokipenda mradi masiku yanakwenda Mkono kinywani unakwenda mshukuru mungu babaa
Hakikisha kazi huichezei Maana boss aah Punguza uongo ukiweza kupunga na hongoo Usiendekeze migongoo dhambi kwa mungu babaa Ah ebwana fanya unachokipenda mradi masiku yanakwenda Mkono kinywani unakwenda mshukuru mungu babaa