Kwanza nina furaha Nitaimba na kucheza (na kucheza) Washa mishumaa Weka keki juu ya meza (juu ya meza) Oh ila usinicheke
Nimekuletea zawadi Kidogo nilichobarikiwa
Haki mwana mpweke Aje na dumu la maji Asije akumwagia Ah nakapicha kao nitakoposti Wasiokupenda itawacosti Ah leo siku yako nishajikoki Tuko rafiki zako tunasema
Happy birthday Happy birthday to you Happy birthday to you Happy birthday Happy birthday to you Happy birthday to you
Ah sinywagi pombe leo ntalewa Niwape shonde waliochelewa Zikinipanda monde nitapepewa Ah pembe la ng´ombe au malewa Ila usiforget Kusema asante baba na mama Walokukuza ukakua Tunakupa na keki kwa wema Akulinde baba Maulana Twakuombea na dua Ah na kapicha kako nitakaposti Wasikupenda itawacosti Ah leo siku yako nishajikoki Tuko rafiki zako tunasema
Happy birthday Happy birthday to you Happy birthday to you
Happy birthday to you Happy birthday to you Happy birthday to you
Kata keki kata (Kata) Ooh Kata (Kata) Kata unilishe Keki ya jina lako (kata) Waoneshe na wenzako (kata) Tupo kwa ajili yako (kata) Kata unilishe Ooh basi (kata) Ooh Kata( Kata) Kata nikuone Kata unilishe (Kata) kata… Kata Kata unilishe Ooh nakapicha kako nitakaposti