Only you, in my mind Nahisi mwingine hakuna Kwenye hii dunia
I don´t know what you do, never mind Hata salamu unauchuna, vimeseji nikikutumia Ingawa silijui kosa, ila fanya unisamehe Umeniadhibu vya kutosha, japo imani nionee
Oooh baby, nikilala naota, naota kama unaniita Ila nafsi inasita, ipo siku nitaitika Oooh nikilala naota, naota kama unaniita Ila nafsi inasita, ipo siku nitaitika my baby I miss you I miss you
Ukiona mtu mzima ma Analia ujue kuna jambo (I miss you) Maji hayapandi mlima ma Mi kiwete siwezi kwenda ng´ambo (I miss you) Mmmh
Nilisacrifice my love for you (oooh ooh) Leo unaniona sifai na matusi juu (oooh ooh) Natamani urudi mama, Ila siwezi kukufosi fosi Punguza makusi drama, hizo mbwembwe na maposti posti Kutwa nashinda Insta, nazitazama zako picha Usiombe bando likiisha, mi mpweke la yote tisa
Oooh, nikilala naota, naota kama unaniita Ila nafsi inasita, ipo siku nitaitika Oooh nikilala naota, naota kama unaniita Ila nafsi inasita, ipo siku nitaitika my baby I miss you I miss you
Ukiona mtu mzima ma, Analia ujue kuna jambo (I miss you) Maji hayapandi mlima ma, mi kiwete siwezi kwenda ng´ambo (I miss you)
Nikilala naota Naota kama unaniita Ila nafsi inasita mpenzi Ipo siku utaitika
Nikilala naota Naota kama unaniita Ila nafsi inasita mpenzi Ipo siku utaitika